0%
TUFAA JEKUNDU CRONOC 7 MPATANISHI

TUFAA JEKUNDU

Kitabu cha Kwanza katika mfululizo wa vitabu vya Kamanda Amata Tsh 10,000 tu.

CRONOC 7

Riwaya ya Pili katika mfululizo wa Vitabu vya Kamanda Amata Tsh 10,000

MPATANISHI

Kitabu cha Tatu katika mfululizo wa Vitabu vya Kamanda Amata Tsh 10,000

WELCOME, KARIBU KATIKA JAMVI LA SIMULIZI NA HABARI MOTO

Tufuate ili kupata huduma zetu, ununuzi wa vitabu vya riwaya na utengenezaji wa tovuti (Web design)...bofya hapa

KAA TAYARI KWA TUKIO KUBWA …

#MjueMtunzi Mapicha ya kutisha, kila mmoja akitaraji tukio kubwa Tanzania… #MjueMtunzi ndiyo homa ya jiji kwa sasa. Mimi nataka kumjua mtunzi, wewe je? Kwa abari mbalimbali za #MjueMtunzi, tembelea kurasa zetu Facebook Page: Mjuemtunzi Instagram: mjuemtunzi Tweeter: MjueMtunzi Usipitwe….

Share

The ESCROW MISSION – Riwaya

The ESCROW Mission © Richard R. MWAMBE         1 … Dar es salaam – saa 04:10 MJI WA DAR ES SALAAM uligubikwa na moshi mzito wa mabomu ya machozi, mabomu yaliyokuwa yakirushwa na vijana wakakamavu wa fanya fujo uone ‘FFU’. Vijana wenye uchungu na hasira, macho yao yaliyojaa machozi na makamasi membamba
+ Read More

Share

ZANZIBAR 2017 – Habari Picha

Mwaka 2017, Maisha Film Lab PICHA                    

Share

KITISHO

KITISHO ! Richard MWAMBE     SURA YA 1 Mbowe Club Saa 1:23 usiku RADI kali ilipasua anga na kufanya mchoro wa kutisha, mwanga wake ulilipoteza giza kwa sekunde kadhaa, kila kilichojificha kilionekana wazi. Hakuna mtu hata mmoja aliyekuwa nje muda huo. Ni mvua kubwa na ngurumo za kutisha zilitawala kila kona, ilikuwa ni hali
+ Read More

Share

RIWAYA: JIUE MWENYEWE

         JIUE  MWENYEWE ©Richard R. MWAMBE   1 Mwaka 2003… DURBAN – AFRIKA KUSINI-Saa 3:21 asubuhi NDANI YA JENGO REFU KULIKO YOTE, Monte Blanc, lililopo katika jiji la Durban, jimbo la KwaZulu Natal, Afrika ya Kusini, ni mtu mmoja aliyekuwa akiwindwa kwa udi na uvumba. Ni mara ya sita kama si tano
+ Read More

Share

PASIPOTI YA GAIDI -Part I – Hujuma na Uzandiki ‘Trailer’

                PASIPOTI YA GAIDI I   hujuma na uzandiki               SURA YA I IKULU – DAR ES SALAAM Saa 10:30 alfajiri WAKATI GIZA LIKIJIANDAA KUTOWEKA na kuipisha nuru ya asubuhi, miti yote ilikuwa imetulia kana kwamba kuna aliyeiambia ifanye hivyo. Ni Tausi
+ Read More

Share

Protected: PASIPOTI YA GAIDI – Part I – Hujuma na Uzandiki

There is no excerpt because this is a protected post.

Share

MAGNUM 22 – official trailer

      I   SEHEMU FULANI HUKO AFRIKA MAGAHARIBI MACHO YANGU yalikuwa mazito sana kiasi kwamba iliniwia ngumu kuyafumbua. Haikuwa rahisi kwangu, nilijaribu kutumia nguvu ya mwisho niliyonayo kuona japo nuru, haikuwezekana. Fahamu zilipokaa sawa nikahisi maumivu makali sana kisogoni, nikajaribu kuinua mkono ili japo kushika eneo hilo la mwili. Damu! Damu iliyoanza kuganda
+ Read More

Share

Protected: MAGNUM 22 – Riwaya Tsh 6,000

There is no excerpt because this is a protected post.

Share
Translate »
error: OPS! Content is protected !! Imezuiwa