Kuhusu Mimi

riricRichard R. Mwambe,

Mwandishi na mtunzi wa riwaya na michezo a Kiswahili. Ni Mtanzania kutoka mkoa wa Lindi. Ni Msanii wa sanaa ya jukwaani, Mtengeneza filamu, Mwandishi wa script na Muongozaji filam.

Mtunzi na mwandishi wa kitabu – TUFAA JEKUNDU.

Licha ya kazi ya sanaa yeye ni fundi Umeme daraja la kwanza pia ni fundi wa kompyuta (IT). Na ni dereva wa gari mwenye uzoefu na weledi mkubwa.

Elimu:
Amepata Elimu yake ya Msingi katika shule ya Msingi Ukonga mwaka 1988 – 1984. Kisha akajiunga na Chuo cha Ufundi Dar Tech 1995- 1997 na kutunukiwa cheti cha General Course in Engineering (GCE). Mwaka 2001-2004 alijiunga na VETA Dar es salaam na kutunukiwa cheti cha ufundi stadi wa umeme daraja la kwanza. Amepata elimu yake ya ufundi wa kompyuta katika Chuo Kikuu cha Ruaha-Iringa (RUCO) chini ya kozi za SISCO mwaka 2010-2011, Kipaji chake cha kuzaliwa cha sanaa amekiongezea nguvu katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo mwaka 2014… mpaka sasa.

Pia amefanya kozi nyingi fupi katika nyanja za
Uhifadhi Misitu -TaTEDo
IT na Informatics – DREAM
Mult Skill (Entepreneurship) – Soft Trainers
Usalama Barabarani – APEC na Jeshi la Polisi Dodoma
Uongozaji Muziki na Uimbaji – TaSUBa na Taasisi ya Muziki Ujerumani

Uzoefu wa Kazi:
Amefanya kazi katika kampuni/miradi tofauti.
UNIBILT (T) LTD – Dar es salaam – kama fundi na mwendesha mitambo
Project Vincenza – Iringa – kama fundi wa vifaa tiba
DREAM program – Iringa – kama fundi umeme, IT na dereva
Piero Pasolini Hydroelectric Power Station – Cameroon- kama fundi umeme

Nchi alizotembelea
Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Cameroon

Imani
Ni Mkristo wa kanisa Katoliki pia ni mfuasi wa Movement ya Focolare

Licha ya kazi hizo zote, Richard yupo tayari kukupa msaada wa ushauri Kiroho, Maisha, Ndoa na Mapenzi.

Karibu, wasiliana naye sasa,

+255 766 974865

“Baba wote wawe na umoja…” Yoh 19:21

Translate »
error: OPS! Content is protected !! Imezuiwa