WANAJESHI ZAIDI KUTUMWA SUDANI KUSINI

_91025676_1019add0-9334-4f3f-8bc1-d3e429f4e064

Umoja wa Mataifa itatuma wanajeshi zaidi kwenda Sudani ya Kusini kulinda amani baada ya Rais wa nchi hiyo Bwana Salva Kiir kukubali. 

Rais huyo alichukua hatua hiyo baada ya kuzungumza na ujumbe kutoka kwa Baraza la Usalama la Umoja huo.

Wanajeshi 4000 wataongezwa kutoka katika nchi za kanda. Hapo kabla Kiir alisema kuwa huo ni ukiukwaji wa uhuru wa Sudani Kusini.

Share
Translate »
error: OPS! Content is protected !! Imezuiwa