ZANZIBAR 2017 – Habari Picha

Mwaka 2017, Maisha Film Lab

PICHA

Siku hii nilisafiri kwenda Zenji usiku mzima kwa boti kubwa ya Sea Link inayofanya safari zake Dar es salaam mpaka Pemba kupitia Unguja

 

Richard Mwambe ‘Kamanda Amata’, nikiwa katika warsha ya waandishi wa filam huko Zanzibar

 

Nikipata upepo wa Pwani baada ya uchovu wa siku mzima. Picha hii ilipigwa saa 12 jioni

 

 

 

 

Tih tih tih Menu time

 

Nikipokea cheti cha Uandishi Bora wa miswada ya Filam… chini ya Mkufunzi wa Maisha Film Lab Bi. Angel

 

Ninaweka SIGNATURE

Waandishi wakikutana ni furaha iso Kifani…. Kelvin Kagambo, mwenye shati la kijani

 

Baadhi yetu tukiwa na Mr Joe mwenye miwani, bonge la mtu. huyo mrefu mwenye kofia ni mshiriki wa tamthiliya ya Siri za Familia… anayening’niza mkoba kushoto kabisa ni mpiga picha maarufu wa mitandaoni tih tih

 

Share

Leave a Reply

Translate »
error: OPS! Content is protected !! Imezuiwa